Balozi Dkt. Slaa atoa somo

Kulingnisha familia na nchi is too low for Dr. Slaa. Mambo yanayotendeka hapa siyo mambo ya kawaida yanayoweza kutokea kwenye familia ambayo yaweza kusuluhishwa. Siamini kuwa Dr. Slaa haoni hii hali. Na siamini kwamba yeye mwenyewe pamoja na kuwa serikalini amepata amani. Mimi nadhani jambo jema kuliko yote Dr. Sala analoweza kulifanyia taifà hili kwa sasa ni kuacha kuxungumzia mambo ya siasa. Naamini anatumika kufanya hivyo kwa manufaa ya watu waioshindwa kujijengea ushawishi wa kisiasa kama alivyotumika wakati wa uchaguzi 2015 lakini ajue kama mtu aliyepata kuheshimika anawaumiza sana wale waliopata kumheshimu na kujidhalilisha pia.
 
Huyu ndio binadamu na mtanzania wa kwanza kuvunja viapo viwili vigumu sana. 1 alivunja na kulitupilia mbali joho la ukasisi na upadre akauona ni upadre UCHWARA. 2 alivunjilia mbali ndoa ya kanisani na kuiona ni ndoa UCHWARA na kuamua kukaa na kimada, na mwisho huyu ndio alietuletea msamiati tata wakuchekesha,kukaraisha na kufedhehesha. Eti alisema hivi: UKIHAMISHA CHOO KUTOKA CHOONI NA KUKIPELEKA SEBULENI! SEBULE ITANUKA ZAIDI KULIKO CHOONI. yaani
 

Ametoa somo zuri lakini linamwelekeo wa mrengo mmoja uliompa kula.
Anapo sema mambo ya ndani ya nchi yazungumziwe nadani, hilo haliwezekani kwani ukijaribu kuangalia watu wote waliojitokeza na kuzungumza au kukosoa serikali walipatwa na mazito yakiwemo kutekwa na kupoteza, kutekwa na kuteswa, kutekwa na kuuwawa na wengine kupigwa risasi kama kina lissu.
Sasa hakuna namna nyingine ya kutoa mawazo au maoni zaidi ya kutumia mitandao ya kijamii ambayo inasomwa na watu karibu Dunia nzima. Pia kuwasiliana na wahisani mbali mbali kuwaeleza yanayo jiri huku nchini.
 

Hayo majibu ya upinzani alianza kuyapata baada ya kukosa nafasi ya kugombea urais kupitia cdm na kisha kupata ubalozi kama asante toka kwa mwenyekiti wa ccm? Mbona alipokuwa yuko upinzani akiwapinga ccm bado maelezo ya ccm yalikuwa ni haya haya ambayo yeye sasa anatupa?
 
Ajadilane nini na viongozi wa upinzani walioatamia madaraka zaidi ya miaka 20 sasa?

Ulishajiuliza uchaguzi wa chadema mara ya mwisho kufanyika lini?
Bora ungejiita bwege. Uwezo wa kufiri mdogo sana.
 

Huyo Slaa ni mnafiki mwenye umri mkubwa, akiwa upinzani kuna barua zake nyingi aliwaandikia wazungu kuhusu mwenendo wa demokrasia hapa nchini. Je wakati huo hakujua hao wazungu hawakuwa na ubaya ambao anauona sasa baada ya kujiunga kwenye kambi ya waovu?
 

Anatetea mkate wake wa siku
 
Pumbavu!
Vya kwetu ndio hivyo vya kuwaua akina Saanane na wengine na kumpiga binadamu mwenzako risasi Karibu 40?

Quantanamo ni ya Wamarekani lakini kule hakuna Mmarekani hata mmoja. Hata wenye hatia wamefuata katiba yao kuwahukumu. Nyie mnaua watu wenu mnataka msiambiwe?
 

Umeenda kufanya utafiti ukakuta hakuna Wamarekani? Hata hivyo vipi hao wanaoteswa huko si binadamu wanaostahili haki za binadam?
 

Umeenda kufanya utafiti ukakuta hakuna Wamarekani? Hata hivyo vipi hao wanaoteswa huko si binadamu wanaostahili haki za binadam?
 

Umeenda kufanya utafiti ukakuta hakuna Wamarekani? Hata hivyo vipi hao wanaoteswa huko si binadamu wanaostahili haki za binadam?
 

unaweza kui- attache hapa ili tujue kuwa sasa anafanya ni toba ya yale aliyoyaamini mwanzo? Bila ushahidi nawe utakuwa unataka kutudanganya.
 
eti tuchapane humu huu, toako kweli huyu babu aliyeasi upadri
baada ya kuzini na Diana, alipokuwa CHADEMA mbona alikuwa anashtakia kwa wazungu.
mwafrika bila kuongizwa haendi
 
unaweza kui- attache hapa ili tujue kuwa sasa anafanya ni toba ya yale aliyoyaamini mwanzo? Bila ushahidi nawe utakuwa unataka kutudanganya.

Hata yeye huu uzi anauona, atokee akanushe. Hizo barua ni za kiofisi sio za kuweka humu jukwaani. Kwakuwa ww ndio umeanzisha uzi wa kuwakilisha ushauri wake, mpigie simu umuulize haya ni ya kweli?
 
Hilo somo akampe mkewe ndio ataelewa au Lumumba buku saba.
 
Ajadilane nini na viongozi wa upinzani walioatamia madaraka zaidi ya miaka 20 sasa?

Ulishajiuliza uchaguzi wa chadema mara ya mwisho kufanyika lini?
umemjibu vizuri Sana huyo nyumbu. Sijaona kiongozi hata mmoja wa upinzani anaetekeleza demokrasia kwa vitendo zaidi wote ni madikteta nguli. Upinzani kumpoteza Dr Slaa lilikuwa Ni kosa la kiwango cha juu sanaa kuja kuliziba hili kosa itachukua muda mrefu Sana. Mbowe anastahili kupigwa mawe hadharani kwa upuuzi aliotufanyia km Taifa. Manyumbu bado wanamkenulia meno tu, inakera Sana!
 
Wanao mpinga Dr Slaa wanahoja zakiduwanzi Sana.
Watakwambia "aliacha upadre! Sasa kuwa Padre au kutokuwa Padre si nimaamuzi ya mtu mwenyewe? Mbona wao wapo walivyo kwaajili ya maamuzi yao?
Wengine "eti alizini! Unaweza kuzini na mke wako? Aliamua kuoa sababu alipenda kuoa. Mbona wakosoaji wengi wa Slaa ni wazinzi na tunaushahidi? Fly to KIA !hata ivo mbona Ni maisha binafsi?
Eti kisa kumkataa Lowasa kuwa mgombea wanasema "anapenda madaraka!. Kwani CHADEMA hawakutuambia miaka yote kuwa Lowasa ni fisadi? Sasa kuwa na msimamo wa ulichokiamini na kuaminisha watu nayo ni zambi ya usaliti? (Mwanaume kamili lazima uwe na msimamo) ukweli huwa unajitenga, Sasa ni wazi, pengo la Slaa lipo na halizibiki. Anaebisha amuulize Mashinji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…