Balozi alipompigia magoti Magufuli leo Ikulu

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,206
18,548
Balozi wa Zambia alipomsalimia Rais huku amepiga magoti.

Ni kama kitu cha ajabu lakini kina maana yake.
 

Attachments

  • 1456246946283.jpg
    1456246946283.jpg
    24 KB · Views: 291
Balozi wa zimbabwe alipo msalimia Rais huku amepiga magoti .
Ni kama kitu cha ajabu lakini kina maana yake




Kama hutobadilika kifikra utaendelea kubaki na tabu zako milele.Sioni tatizo katika tendo hilo hasa kwa mwanamke wa kiafrika.Mbona huku usukumani hilo ni jambo la kawaida sana?


Turudi kwenye uhalisia,tukio hilo limechangia kiasi gani kwenye pato la Taifa letu? Au mmebaki kushangilia kila upuuzi ufanywao na wanasiasa kama mlivyoshangilia zile push ups za jukwaani?Badilika.
 
Balozi wa zimbabwe nchini Tanzania akiwa ikulu magogoni amsalimu Mh JPM kwa goti hadi chini.. Aisee hii ni heshima ya pekee umeionyesha. Wanawake wa Tanzania tusisahau mila zetu.
 
Nilikua na wasiwasi na mtu mkeo kuwa mbunge hasa wa viti maalum
kumbe hata mkeo akiwa balozi unapaswa kuwa na wasiwasi....kwa nchi zetu za kiafrica
 
Back
Top Bottom