Ballistic za Houth sasa zapiga mbele kwa mbele tu. Meli ya kivita ya US kurudishwa nyumbani haraka ikiwa hoi

Ballistic za Houth sasa zapiga mbele kwa mbele tu. Meli ya kivita ya US kurudishwa nyumbani haraka ikiwa hoi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Mashambulizi yanayofanywa na Marekani nchini Yemen hayajaonesha dalili yoyote ya kupunguza nguvu za wanamgambo wa Houth kuendeleza mapambo ya kuwatetea wenzao wa Palestina.

Kinyume chake wanamgambo hao wanaonekana kupata nguvu zaidi na teknolojia za kurusha makombora mpaka kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon.

Hapo jana makombora mawili yalirushwa moja ndani ya TeleAviv na la pili kulenga kambi ya kijeshi ya Ramat David kaskazini ya taifa hilo dhalimu.

Msemaji wa Houth meja jeneral Yahya Saree amesema makombora hayo yalipiga kikamilifu maeneo lengwa.

Kwa upande wa wasemaji wa jeshi la Israel wametoa maelezo yenye utata kwa kusema kombora moja walijaribu kulitungua na la pili wanaendelea kulifanyia uchunguzi.

Katika muendelezo wa matukio hapa mashariki ya kati, waziri wa ulinzi wa Marekani Pete Hegseth amesema baada ya wiki watairudisha nyumbani meli ya kivita ya USS Harry S Truman.

Hii ndiyo ile meli ambayo wiki iliyopita ilicheza ndombolo na makombora na droni za Houth na hatimae kupoteza ndege yake moja ya kivita ya f 18 pamoja na vifaa vya kazi ndani ya meli hiyo.

US attacks Yemen port again; Houthis launch missiles at Israel

 
Houth shikilia hapo hapo.
20230316_002327.jpg
 
Hao wwpiganaji waltungua ndege ya F/A-18 super hornet lakini jeshi la Marekani likasema ndege hiyo ilipotea baada ya meli yao kugeuza mbio kutokana na kitisho cha makombora na drone za wayemen

Marekani imetoa maelezo ya kujichanganya kwelikweli
 
Hao wwpiganaji waltungua ndege ya F/A-18 super hornet lakini jeshi la Marekani likasema ndege hiyo ilipotea baada ya meli yao kugeuza mbio kutokana na kitisho cha makombora na drone za wayemen

Marekani imetoa maelezo ya kujichanganya kwelikweli
Ni kweli usemayo.
Houth iwapo wanapiga maelfu ya kilomita ndani ya Israel hawaishindwi tena kuipiga meli ya kivita ndani ya bahari nyekundu ambayo ipo karibu nao zaidi.
 
teknolojia za mrusi na Iran zimepata uwanja wa majaribio
Houth tofauti na Hizbullah na Syria hawana khiyana na hawamuogopi mtu.Anayewavunjia heshimu na wao wanamlipizia.Saudia waliwaelewa vyema.
Ndiyo maana trump kakataza watu kununua mafuta ya Iran, maana anaamini houthi wanawezeshwa na Iran,uss truman hoi
 
Back
Top Bottom