BALILE BANA

Sawa.Unapoona mtu mkubwa anakuwa na undumila kuwili wa wazi huoy siyo wa kukaa naye meza moja.
Gentleman,
kwani ukipotoshwa na kuamini upotoshaji huo,
na kisha hatimae ukabaini ukweli halisi

ni makosa,
kuukana upotoshaji na kuamini au kueleza ukweli?

manafiki pekee ndio anaweza kuishi upotoshaji
 
Gentleman,
kwani ukipotoshwa na kuamini upotoshaji huo,
na kisha hatimae ukabaini ukweli halisi

ni makosa,
kuukana upotoshaji na kuamini au kueleza ukweli?

manafiki pekee ndio anaweza kuishi upotoshaji
Mimi nimemfuatilia Balile tangu 2014 hadi sasa hoja zake hazina mashiko kama alivyokuwa Musiba na Polepole kipindi cha utawala wa Magufuri.Unajua ukipenda kuishi kwa maslahi maslahi huwezi fanya mambo ya maana kwenye jamii yoyote ile,isipokuwa utakuwa kirusi kwa wenzio.
 
inawezekana kabisa ni kweli hazina mashiko kwako,
kulingana na status ya mahusiano yako na yake tangu 2014,

but,
hoja zake za ukweli zikawa na maana sana kulingana na sheria, taratibu, kanuni na weledi wa uana habari mwenye taaluma na ithibati, lakini pia zikawa na maslahi mapana kwa taifa.
 
LABDA KWA CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…