Balali aonekana ugly places

Ha huyu mtu mbna mm niko nae tunashinda wote kwenye mikahawa ya coffee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

muwe mnaweka na picha bana..
 

pole sana mkuu kwa kutoa identity yako mkuu usije kusema unasumbuliwa na haya mambo ya balali..
 
Hatuhami ng'o.bado tupo na issue ya arusha.
 
yaleyale tuliyoambiwa sokoine anaonekana ofisini

nyerere alimsilence sokoine kuptia tiss/uwt baada ya kumzdi nyerere umaarufu na kuogopwa na watumishi na viongoz kulko nyerere
 
Yupo kimara siku hizi anauza mdudu kwa mangi
 

Ninaamini kabisa kua viongozi wote wa ngazi za juu wanao tawala Tanzania kuanzia kiongozi mkuu pamoja na baraza la mawaziri hakuna anaye mwogopa Mungu wote wamemuasi Mungu kwa sababu za uroho na tamaa za mali ila wamesahau kua Mungu hamfichi mnafiki hebu fikiria kuwa serikali iliwadanganya watanzania et Balali amefariki alimradi kupoteza ushahidi wa ufisadi walio ufanya B O T sasa yako wapi ?
 
Balali hawezi kufilisika, kwanza hapa Bongo anayo miradi kibao inamuingizia pesa.
 

Kuna wenzio imewagharimu ishu ya huyu jamaa kisa kumpiga picha tu huko Boston. So watch out watakutafuta. Just ushauri tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…