IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,840
- 7,400
Ha ha ha wanasema nyinyi mkiazimwa magari hamjui uchungu wake Bora waazimane wenye nayo tu. Kaeni mbali na huu Uzi.Hakuna ubaya mkuu wangu, ndiomaana kuna memba amekomenti kwamba mimi ya yeye tulaiki tu kwasababu hatuna cha kukomenti...😊☺
Ingia WhatsApp kuna kitu nimekutumiaUkimuazima mtu gari basi tegemea meseji za "Mkuu ingia Whatapp".
Broo unabando hapo!! Em ingia watsup kidogoIngia WhatsApp kuna kitu nimekutumia
Hivi mbona gari likikwanguliwa wamiliki huwa wanakasirika Kama mashetani yanawapanda Ni Nini Yani, mbona huwa wanafoka hivi.?Dah nmerud home jion wife ananibia kalikwangua gari kidogo alipokuwa analitoa nje …….nlikaa nje kama lisaa hasira zipungue nsije mchenjia…..inauma sana wazeee[emoji28][emoji28] simuachii tena ndinga
Lako likikwanguliwa fundi rangi akakwambia inabidi mlango/upande mzima upigwe rangi upya na gharama yake ni afutatu utajisikiaje?Hivi mbona gari likikwanguliwa wamiliki huwa wanakasirika Kama mashetani yanawapanda Ni Nini Yani, mbona huwa wanafoka hivi.?
Hata sijui lakini gari lina sehemu yake moyoni .....kwetu sis wanaume maana lina gharama kuliko hata mahaliHivi mbona gari likikwanguliwa wamiliki huwa wanakasirika Kama mashetani yanawapanda Ni Nini Yani, mbona huwa wanafoka hivi.?
Unapokuwa na dharau na mali ya mtu tegemea kupata nayo ajali. Unatakiwa uheshimu mali ya mtu kama vile mwanaume anavyoheshimu Pumbu zake.Aisee nimekumbuka miaka hiyo Tabora nyumba za jeshi zilikuwa zinaitwa majumba ishirini. Major mmoja alienda kozi ya mwaka mzima gari yake kaiacha pale pale kwake (Zile nyumba parking ipo ndani ya nyumba) Gari alimkabidhi jirani meja mwingine awe anaenda kuipasha tu. Siku hiyo kaenda kupasha gari akakuta mke Wa yule meja nae kasafiri wapo watoto tu wadogo akawaambia wafungue geti anaenda kutengeneza gari. Kumbe kaenda nalo Ipuli huko kulewa akapiga mzinga gari haitamaniki. Ilibidi waivute mpaka nyumbani na jamaa aligharamia kila kitu mpaka gari ikarudi barabarani. Sijui kwanini walevi wanagonga sana mizinga wakiwa na gari za watu ila wakiwa na gari zao wanakuwa makini sana.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app