Nimeiona hii habari nimeshangaa!Si hii nchi haina dini kabisa?
na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?
Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...
why? kuna nini?
Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makaou makuu ya BAKWATA
mradi wa bilioni 5.....
Je haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?
Hiko kitu ni nini hasa?
Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?
Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini
ndo 'umeshakwenda'?
Nani muathirika wa haya yoote?
Si mlikuwa mnalilia Mahakama ya Kadhi ianzishwe na Serikali, tofauti iko wapi Serikali ikijenga Ofisi ya BAKWATA?Si hii nchi haina dini kabisa?
na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?
Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...
why? kuna nini?
Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makaou makuu ya BAKWATA
mradi wa bilioni 5.....
Je haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?
Hiko kitu ni nini hasa?
Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?
Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini
ndo 'umeshakwenda'?
Nani muathirika wa haya yoote?
Hao Bakwata walishatekwa siku nyingi.Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini
ndo 'umeshakwenda'?
Nilipowaona wale "Masister" wakifurahia na kuona hakuna muongozo uliotolewa kuhusu uchaguzi nikajua tayari Roma imeamuaMikumi ilikuwaje?
Nilipata kuskia kuwa Bakwata ilianzishwa na serikali, hebu aje Mohamed SaidWe unaona haya majungu?
BAKWATA kuwa chini ya serikali kwako ni jambo zuri?