Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Umesomeka mkuu ............. hapo kwenye pink huwa na wewe unachoka pia sivyo? ............. u got to give them the benefit of doubt too!Mwanamke aliyeolewa na akawa anapata maudhi fulani fulani kutoka kwa mumewe wajua huwa anajibu mapigo kivipi?
Dalili ya kwanza ni mapishi yanaanza kuwa bora liende........na ule ustadi uliouzoea wa mapishi yenye haiba hupotea na visingizio ni kebekebe..........................Huo ni ujumbe jirekebishe.....................................
Akiona bado unajitutumua atakuwekea gia ya pili.........................ataanza kununa na akiona husiki wala huambiliki...........ataanza kulalamika mambo kibao na pengine hata asiligusie hilo.............................linalomkwaza................................
Akiona bado................eeeeeeeeehh hata watoto kama wapo watakiona cha mtema kuni .............maana atanza kuwaadhibu kwa makosa ya ukweli na kubambikiziwa.............
Bakora yake ya mwisho ni kitandani.....................atakunyima unyumba............na visingizio ni tumbo linauma au kazi nyingi sana na siku hizi ninachoka mno...................................
Hii ikishindikana.............basi yaani sasa................just to catch your attention ...........atatafuta bwana nje.......................................
Ujumbe ni...........treat your spouses very well to enjoy your marital bliss......................
......treat your spouses very well to enjoy your marital bliss......................
Ila kubaliki pia na ups and down za hiyo ndoa....its not all heaven.....otherwise ameeen!
Mwanamke aliyeolewa na akawa anapata maudhi fulani fulani kutoka kwa mumewe wajua huwa anajibu mapigo kivipi?
Dalili ya kwanza ni mapishi yanaanza kuwa bora liende........na ule ustadi uliouzoea wa mapishi yenye haiba hupotea na visingizio ni kebekebe..........................Huo ni ujumbe jirekebishe.....................................
Akiona bado unajitutumua atakuwekea gia ya pili.........................ataanza kununa na akiona husiki wala huambiliki...........ataanza kulalamika mambo kibao na pengine hata asiligusie hilo.............................linalomkwaza................................
Akiona bado................eeeeeeeeehh hata watoto kama wapo watakiona cha mtema kuni .............maana atanza kuwaadhibu kwa makosa ya ukweli na kubambikiziwa.............
Bakora yake ya mwisho ni kitandani.....................atakunyima unyumba............na visingizio ni tumbo linauma au kazi nyingi sana na siku hizi ninachoka mno...................................
Hii ikishindikana.............basi yaani sasa................just to catch your attention ...........atatafuta bwana nje.......................................
Ujumbe ni...........treat your spouses very well to enjoy your marital bliss......................
Umesomeka mkuu ............. hapo kwenye pink huwa na wewe unachoka pia sivyo? ............. u got to give them the benefit of doubt too!
Na hata pale wanapokuja wageni, hasa wageni wa upande wa kiumeni!!!unaweza kuta kajifungia chumbani tu, kama ni kahawa au soda unaweza kuta kidume ndo ukawaandalia wageni!!!!!!
Mwenzunu kati ya haya yaliyosemwa yananikuta mpaka sasa,najaribu kurekebisha
Na hata pale wanapokuja wageni, hasa wageni wa upande wa kiumeni!!!unaweza kuta kajifungia chumbani tu, kama ni kahawa au soda unaweza kuta kidume ndo ukawaandalia wageni!!!!!!
Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
da wewe umesema kweli kabisa yaani live bila chenga
Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
ivi kweli utampendaje na kumuheshimu mtu ambaye mwenyewe heshima yake kwenye familia zero yupo tu jina baba sio kwamba watu hawana elimu ya ndoa labda uongelee watu kukimbia responsibilities zao unataka kusema wanawake wa zamani walifanya haya kwa kupenda au walikuwa hawana option na dunia ilikuwa haijafunguka kama sasa
Mafunzo hivi sasa nilidhani ndio yapo advanced kuliko zamani kwa sababu wataalamu wa ndoa wanamfunda bi harusi kwenye kitchen party! Au si hivyo?Tatizo lingine la ndoa za siku hizi ni kwamba mabinti wengi hawapati mafunzo ya ndoa. Kwa mfano enzi zetu sisi kabla ya kwenda kwa mume kuna mafunzo binti unapewa na makungwi kabla ya harusi, nini wajibu wako katika ndoa. Kikubwa zaidi ni kwenda kumtunza mume wako. Umpende na umuheshimu. Ni tofauti kabisa na ndoa za sasa.
Usichoke tafuta suluhu ili ufaidi...................Mimi kabla sijamuoa shemeji yenu, siku moja alikuja kwangu tukatofautiana lugha na baadae nikamlazimisha apike, akapika huku amenuna, alichofanya ni kwamba zile mboga aliweka chumvi nyingi kiasi kwamba kwa binadamu wa kawaida huwezi tumia!!! dah, nilichoka!!!