Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 221,403
- 728,597
Mwanamke aliyeolewa na akawa anapata maudhi fulani fulani kutoka kwa mumewe wajua huwa anajibu mapigo kivipi?
Dalili ya kwanza ni mapishi yanaanza kuwa bora liende........na ule ustadi uliouzoea wa mapishi yenye haiba hupotea na visingizio ni kebekebe..........................Huo ni ujumbe jirekebishe.....................................
Akiona bado unajitutumua atakuwekea gia ya pili.........................ataanza kununa na akiona husiki wala huambiliki...........ataanza kulalamika mambo kibao na pengine hata asiligusie hilo.............................linalomkwaza................................
Akiona bado................eeeeeeeeehh hata watoto kama wapo watakiona cha mtema kuni .............maana atanza kuwaadhibu kwa makosa ya ukweli na kubambikiziwa.............
Bakora yake ya mwisho ni kitandani.....................atakunyima unyumba............na visingizio ni tumbo linauma au kazi nyingi sana na siku hizi ninachoka mno...................................
Hii ikishindikana.............basi yaani sasa................just to catch your attention ...........atatafuta bwana nje.......................................
Ujumbe ni...........treat your spouses very well to enjoy your marital bliss......................