Hivi ingekuwa Manzese, ingekuwaje? Polisi wengine banaa hawana kazi kabisa. Si watuazimie huko waje Kalenga J2 tu jamani kulinda kura zetu. Hilo lijamaa hata likipona likienda haja ndogo tu lazima lichuchumae. Pole zake na wazazi wake kwani sasa watamtengenezea choo spesheli. Poleni wazungu kwa vituko hamjambo. Polisi na magari mazuri kabisa wanafunga njia ati wanasaka bobiti iliokatwa ikapotea!! Kweli haingii mukichwa