Bakhili kanunua mbuzi

Bakhili kanunua mbuzi

shakamohd

Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
49
Reaction score
6
Bakhili alinunua mbuzi akampeleka kwa mpishi nakumwambia hivi: Huyu mbuzi nakuomba ukishamchinja basi nyama yake uigawe nusu mbili yani nusu moja uipike kwa pilau na iliyobakia uniwekee kwenye friji. Halafu kichwa cha mbuzi unifanyie supu. Na miguu yake uifanye mchuzi wa chukuchuku. Lakini ngozi jitahidi usiitupe mana nataka kuifanya ngoma. Kisha utumbo uupike kwa ndizi mbichi na lamwisho usisahau kuipack mifupa yote ili nikawauzie wenye mbwa. Mpishi akashangaa na kumuuliza: Vipi kuhusu sauti ya mbuzi? Nayo huitaki ili tuifanye ringtone kwenye simu yako?
 
Back
Top Bottom