Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Kulegeza au kukaza mkanda leo
Wakuu, leo ndo leo sasa! Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango atatoa bajeti ya serikali hii leo, kwa mwaka huu wa fedha 2017/18.
Mwaka huu wa fedha,makali yalizidi makali sana kwa ambaye ni fisadi na asiye fisadi, kwa mwenye elimu na asiyekuwa na elimu, kwa mwenye ajira na asiyekuwa na ajira, kwa watumishi serikalini na wale wa taasisi binafsi (hata za kibenki), kwa wenye familia na wasiokuwa na familia, wanawake kwa wanaume na wakubwa kwa wadogo?
1. Ni kweli wote wanaolalamika mtaani walikuwa mafisadi?
2. Ni kweli wote wanaolalamika walikuwa watu wa 'short cut'?
3. Ni kweli wote wanaolalamika hawafanyi kazi kwa bidii?
4. Ni kweli wote wanaolalamika ni wapiga dili?
Ngoja tusikie ya leo kama bia haijapanda mpaka TZS 3,500.
Njaa mtaani ni kali sana, makali ni makali sana.
Twende kazi.