iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,133
Kama uyo mama ni mtu mzima msamehe mkuu, kama unamuda wa kutosha msake huyo kibaka, muache tu huyo bibi
Natamani kujua alimthamini Kwa maneno TU au rehani, ila toto lililoshindikana Kwa mzazi ndio wewe umewekeza!? Pole sanaDaah Ila madogo wanazingua sana, unampa chombo hajui umejidhiki kiasi gani, m9 si mchezo, afu mwisho wa siku anakuletea uhanithi.
haki vile pesa inauma, kama vipi deal na huyohuyo bimkubwa auze hata kiwanja cha urithi aitengeneze.
Sometimes inabidi uwe bandidu ili ufanikiwe.
Huruma na hela havikai pamoja, mhadabishe huyo kijana acha kuendekeza huruma, sasa mkataba mlisainishana yanini?Me pia nimeona nifanye hivo tu
Me pia nimeona nifanye hivo tu
Kwa vyovyote vile inabidi ulipwe ama una wazo mbadala? Ingia naye makubaliano ya kuigharamikia.Guys, hivi juzi nilikuja na uzi wa kuibiwa bajaj yangu, leo bajaj nmeipata baada ya kumpeleka mdhamini mahakamani na mwizi wa bajaj akaamua kuitelekeza mahala na kupiga simu akatoa location sehemu alipoiacha bajaj, nimefatilia sehemu hiyo mpaka kufika, nimekuta bajaj imeshachakaa sana, imeshakua mbovu na haiwaki.
Inshort ni kuwa inahitaji service ya hali ya juu sana mpaka iweze kurudi kwenye uhafadhari.
Naombeni ushauri wenu, niendelee kudeal na mdhamini wake ambae ni mama yake ili aweze kugharamia service ya hii bajaj.? Ama nifanye nini?
AminaShukuru Mungu umeipata maana kuna wengine hata kupitia wadhamini hawapati tena ikiibiwa.
Kama una uwezo irekebishe then uza. Usimtaabishe Bi. Mkubwa wa watu kwa kumpa tabu kwa jambo ambalo pengine wala hakuusika nalo.
Guys, hivi juzi nilikuja na uzi wa kuibiwa bajaj yangu, leo bajaj nmeipata baada ya kumpeleka mdhamini mahakamani na mwizi wa bajaj akaamua kuitelekeza mahala na kupiga simu akatoa location sehemu alipoiacha bajaj, nimefatilia sehemu hiyo mpaka kufika, nimekuta bajaj imeshachakaa sana, imeshakua mbovu na haiwaki.
Inshort ni kuwa inahitaji service ya hali ya juu sana mpaka iweze kurudi kwenye uhafadhari.
Naombeni ushauri wenu, niendelee kudeal na mdhamini wake ambae ni mama yake ili aweze kugharamia service ya hii bajaj.? Ama nifanye nini?
=========
Soma Pia: Naipataje Bajaj yangu iliyoibiwa