Bajaji ya mkataba mkoa wa dodoma inatafutwq

Bajaji ya mkataba mkoa wa dodoma inatafutwq

Luge son

Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
24
Reaction score
18
Habari ndugu zangu. Mtu yoyote anayetoa bajaji ya mkataba mkoa wa dodoma nahitaji iyo kazi. 0754837903
 
Nenda pale majengo DM hotel wapo jamaa walikuwa wana tafuta mtu wa kumpa bajaj, ulizia madereva pale kijiweni.....
 
Back
Top Bottom