Bajaji TVS King DSP inauzwa, iko katika hali nzuri na tayari kwa matumizi ya kila siku. Ni chaguo zuri kwa biashara ya usafirishaji abiria au kwa mtu anayehitaji bajaji ya kazi.
Taarifa muhimu:
π Model: TVS King
π’ Rangi: Green
πͺͺ Namba: MC DSP
π§ Engine ipo na inafanya kazi
πͺ Chassis/body imara
π Ina namba DSP
πΌ Inafaa kwa biashara ya bajaji
π° Bei: 3.5
π Ipo: Iringa
Mwenye serious buyer tu. Karibu kuiona na kukagua mwenyewe.