Bajaji inauzwa bajaji inauzwa

Bajaji inauzwa bajaji inauzwa

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,862
Reaction score
2,156
tangazotangazo
pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji)aina ya tvs king inauzwa.imetumika kwa mwaka 1 na miezi 3, iko katikahali nzuri.bei tsh 3,600,000 – mazungumzo yapo.piga simu: 0755252263
 
Hizo Bajaj zina depreciate kwa 50% p.a, umetumia mwaka 1 na miezi 3, depreciation kwa mwaka 1 na miezi 3 ni Shs 3,125,000, assuming ulininuna kwa Shs 5,000,000 baada ya mwaka 1 na miezi 3 unatakiwa uize kwa shs 1,875,000.
Sasa wewe hiyo bei ya kuuzia Shs 3,600,000 umeitoa wapi?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Why are you selling? Ubovu gani inao?

Mkuu usiwe na mitazamo hasi... kuuza kitu si lazima kiwe kibovu. Iko powa... inauzwa coz tunahama mkoa.
 
ndio hizi unaweza kuwasha bila funguo eenh!!??... Nlisikia ukinasisha sarafu ya mia mbili chini ya starter ukachezea kidogo tu kitu kipo ON
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom