Bajaji inaungua barabaran hapa lugalo..Mda hii

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Aisee polesana mmiliki ukiacha mvua hii naona na bajaji imekuumiza


Mda mfupi uliopita tumepita lugali na kuona bajaji ikiteketea kwa moto mkubwa sana


Wah wameizingukanadereva yuko pemben kanatoa machozi maana naona kanamalizikia


#nb

Mmarufuku kupiga picha maenei haya


Alafu mniulize maswali ya kitoto picha ikowapi kapige wewe hiko kibao cha marufuku
 
Mzee uzi una korogesheni za kufa mtu. Au kuandika bandiko nako inabidi uandike kwa uoga uoga jamaa wa Lugalo wasije kukuona unaandika?
 
Back
Top Bottom