Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,773
- 2,383
Kama unajua quality ya magari chunguza curves na reflections hizo.Benz la kitambo sana hilo
Benz la kitambo sana hilo
Benzi kitu expensive kumaintain na gari hapo juu A reg. ni la miaka ya ' 95-'96.Huyo mkoko bado pia mwaita expensive.
mi sina benz nina navara mkuuView attachment 88081
Mkuu kitu izuri hiki lakini siyo class.
Baada ya miaka kumi hapa bodi kwishmey ila engine inawaka.
Mkuu mbona kama lipo yard?mi sina benz nina navara mkuuView attachment 88081
Mkuu mbona kama lipo yard?
Mkuu mwanza ni kunusa,route za dar-songea unapanga safari saa4,saa 6 unasepa saa 3 usiku uko songea
mafuta inakula fresh,rough road iko strong,haijawahi kufunguliwa engine,mileage elf 90.
Nissan pickup siyo gari comfortable hasa kwa kusafiri umbali mrefu. Iwe navara iwe hardbody. Ukikaa cabin ya nyuma kama safari ni ndefu basi utafika hoi.mi sina benz nina navara mkuuView attachment 88081
naam,longi time!si unaona hata namba yake yenyewe, ATC litakuwa mali ya shirika la ndege la tanzania!!!Benz la kitambo sana hilo
Nissan pickup siyo gari comfortable hasa kwa kusafiri umbali mrefu. Iwe navara iwe hardbody. Ukikaa cabin ya nyuma kama safari ni ndefu basi utafika hoi.
Patrol imetulia na ni comfortable.
Lakini bado linadai sana!Benz la kitambo sana hilo
Lakini bado linadai sana!
Mkuu Nigga umesomeka bila shaka. Tuendelee kuwa pamoja Jamvini.Teh teh teh teh unatk nikuuzie nn mkuu?hapo bado lilikuwa japan mkuu
unataka picha ya dsm?