mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
Husika na somo hapo juu tunahitaji bajaji mbili zenye good condition.
Ni pm picha na bei yako.
Ni pm picha na bei yako.
Hii hapa boss
Hii hapa boss
hapa kazi tu dondosha na bei basi
Aisee we pretty Noma,Hahahaha
Yaani Biashara zako upo fasta na very muwazi.
Ipo vizuri
Munawar angekua kama huyu dada ingekua poa sanaAisee we pretty Noma,Hahahaha
Yaani Biashara zako upo fasta na very muwazi.
Ipo vizuri
Munawar angekua kama huyu dada ingekua poa sana
Pasua mkubwa wewe !!! Ushawahi kufanya biashara na Mimi ??? Hata hunijui nashangaa unapenda kunitaja !!! Shauri yako , hapa mjini !!!
Munawar is a unique and big brand !!!
Munawar angekua kama huyu dada ingekua poa sana
Gombaneni eeeeeeeeeeeeeeee
Ila mwisho wa siku hapa Tunauza Bajaj
Yah huyu ndugu yupo poa, muelewa sana nimeshafanya nae biashara na ntaendelea kufanya...huyo ndugu yako #Munawar mmmhh
Yah huyu ndugu yupo poa, muelewa sana nimeshafanya nae biashara na ntaendelea kufanya...huyo ndugu yako #Munawar mmmhh
:msela:Wewe pasua tu !!! Biashara yako kuu ni story tu !!! Na Mimi story siwezi