K KOMWAA Member Joined Mar 26, 2012 Posts 20 Reaction score 2 Dec 5, 2013 #1 Bajaj 2 stroke inauzwaa imetumika lkn ipo ktk hali nzuri rangi yake ni blue,kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane haraka namba 0715 751515 au 0713 705360
Bajaj 2 stroke inauzwaa imetumika lkn ipo ktk hali nzuri rangi yake ni blue,kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane haraka namba 0715 751515 au 0713 705360
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,974 Dec 5, 2013 #2 weka picha mkuu. na sababu ya kuiuza. na iko wapi. imetembea km ngapi. na inatumia dizeli au petroli? ina reverse gear? honi inafanya kazi? ina tairi ya spea? bima? road license? ishagonga?
weka picha mkuu. na sababu ya kuiuza. na iko wapi. imetembea km ngapi. na inatumia dizeli au petroli? ina reverse gear? honi inafanya kazi? ina tairi ya spea? bima? road license? ishagonga?