Bajaj Boxer BM 150 inauzwa, Bei Poa.

Bajaj Boxer BM 150 inauzwa, Bei Poa.

Dela

Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
78
Reaction score
13
Habari za Leo wakuu? Napenda nichukue fursa hii kuinadi bidhaa tajwa hapo juu. Ni pikipiki aina ya Boxer Bm 150. Inauzwa Tsh 1,400,000/=, Sababu za Kuuzwa ni Longo Longo zimezidi kutoka kwa Dereva maana inafanya kazi ya Boda boda. Piki piki hii si mpya, ila mpaka sasa inauzwa ikiwa nzima baada ya kubadilishwa piston na mfumo mzima wa Injini, Matairi yote mazima na bado inafanya kazi kama Boda boda.

Maongezi yapo. Kama unahitaji tafadhali ni PM, then tutaongea Biashara.
 
Attachments

  • byh.jpg
    byh.jpg
    20.6 KB · Views: 473
  • byh1.jpg
    byh1.jpg
    28.7 KB · Views: 362
  • byh2.jpg
    byh2.jpg
    17.9 KB · Views: 303
Habari za Leo wakuu? Napenda nichukue fursa hii kuinadi bidhaa tajwa hapo juu. Ni pikipiki aina ya Boxer Bm 150. Inauzwa Tsh 1,400,000/=, Sababu za Kuuzwa ni Longo Longo zimezidi kutoka kwa Dereva maana inafanya kazi ya Boda boda. Piki piki hii si mpya, ila mpaka sasa inauzwa ikiwa nzima baada ya kubadilishwa piston na mfumo mzima wa Injini, Matairi yote mazima na bado inafanya kazi kama Boda boda.

Maongezi yapo. Kama unahitaji tafadhali ni PM, then tutaongea Biashara.

Mkuu nichek kwa 0767414458
 
fafanua hii { kubadilishwa piston na mfumo mzima wa Injini,} sijaelewa
halafu fikiria hii 1150000 PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom