😅nitakuwekea bure kabisaHaina hata stand aisee!
Za kijani na njano? Bado hazijashushwa toka malorini mkuu!Uza tu maana natafuta phoenix.
😁😁Unaiuza muda mbaya, subiri after october, sahivi zipo za bure.....
Naunga mkono hojaWaone CCM Ufanye Biashara
😅😅😅kumbe sikuwa najua, basi ngoja niitunze adi after octoberUnaiuza muda mbaya, subiri after october, sahivi zipo za bure.....
Tulia kwanza sahivi tuko na hizi za bure.....😅😅😅kumbe sikuwa najua, basi ngoja niitunze adi after october
Tulia kwanza sahivi tuko na hizi za bure.....
View attachment 3376128Izi sio nnzuri kabisa😅😅 zakishamba