Bagamoyo ardhi / 2,900,000TZS

Bagamoyo ardhi / 2,900,000TZS

TZX2012

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Ardhi inauzwa Bagamoyo, wastani wa dakika 10 kwa gari kutoka Bagamoyo mjini,upande ambao si wa bahari.
ukubwa ni nusu acre na zaidi kidogo.Sehemu ni ya mchanga na inafaaa kwa kujenga tu.Bei 2.9M TZS.
 
Panaitwaje hapo penye hicho kiwanja?
 
Mkuu, hebu jaribu kujifunza hata mambo madogo madogo kama kuelezea umbali hata kwa kuuliza, mwendo wa dk 10 kwa gari ndiyo nini? Magari kuna Vits hadi Lori, na kasi zao ni tofauti sana, na hata kama ni Vitz, ikiwa inaenda km ngapi kwa saa ndiyo utakuwa umetumia hizo dk kumi? Kutoka Bagamoyo mjini kwenda wapi, Makurunge? Dar es Salaam? Hata huo ukubwa unashindwa kukadiri kwa hatua kama huna kipimo sahihi?
 
Embu chunguza kwanza isije ikawa uwanja upo kwenye ifadhi ya kiwanda cha gas. Maana tusikia sikia tu kiwanda cha gas kitajegwa bagamoyo
 
Hiyo sehemu ni karibu na chuo cha maktaba, njia ya kwenda DSM.Mkuu Mbalamwezi-nimejifunza kutoka kwako,hivi mtu amekwambia ukubwa ni karibu nusu acre,bado unamshambulia kuwa ameshindwa kukadiria ukubwa unataka kwa hatua?haya mkuu ni hatua 70 kwa 40-naomba usiniulize kama ni za mtoto au mzee-ahaaaaaaaaaaha.Ni KM 6 kutoka Bagamoyo mjini.Sijawahi kusikia kiwanda pale. Thx.
 
Nitumie contact zako kupitia henryzared@gmail.com tufanye biashara
 
Ardhi inauzwa Bagamoyo, wastani wa dakika 10 kwa gari kutoka Bagamoyo mjini,upande ambao si wa bahari.
ukubwa ni nusu acre na zaidi kidogo.Sehemu ni ya mchanga na inafaaa kwa kujenga tu.Bei 2.9M TZS.

Eneo linaitwaje? Tuma mawasiliano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom