Badoo inanivunjia uchumba wangu

Hii ngumu kumeza, hakika ukimchunguza bata kamwe hauta kula nyama yake, achana nae jipange upya, wanawake ni hatari sana hapa duniani.
 
Msamehe, muite mwambie ukweli. Achana naye. Usizipost picha zake, kuonyesha wewe ni mcha Mungu na mtu mwaminifu!
 
umenikbusha badoo. hii apps bana watoto wakali balaa ukiomba namba habani .ila kesho yake mzinga unakuusu .mpige ka 30 iv then usuachie gap baada ya siku 2 mkutane unakula mzigo kiulaini. wengine ni wake za watu. wamama mabint. yaani kule ni playstore ya wanawake wazinzi. mimi apo nimepita na kama 6 ninaowakumbuka.
 

Ndugu yangu mimi zaidi ya kupiga umbea JF sinaga mazoea na hayo mambo kabisa.
Kama sina cha kufanya nitacheza games na kuangalia Korean drama zangu, hivyo sijui hata nimshauri vipi jamaa.
Ila kiukweli huyo mwanamke hamfai tena, nitamuona wa ajabu kama akiendelea nae!
 
Last edited by a moderator:
aisee pole sana ndugu yangu bora umejua mapema maana ungejuta na usingepata pakuponea
mpaka kifo kingewatenganisha yaani ungekuwa unalia na unaumia moyoni mwako

hebu jitie nguvu songa mbele achana nae huyo kwani umeshajua mbivu na mbichi zake
wala usithubutu kuzituma mitandaoni msamehe na achana nae
 

best option
 
The game of thrones.

Huyo dada anajua fika kwamba unamzingua, ndio maana anakuzingua Na wewe.

She knows what your doing that is why she is doing so.

aaaah wapi..!!huyo changu tu..!!!
kuzinguana gani huko sasa hilo dada gahba sana
nachuki sana binti asiyejishimu..!!
 
Nmependa hapo kwenye Tgo atajaribu duuh pole sana lkn mwsho wa cku ww ndo mwenye maamuz Na angalia moyo wko unaamin vipi..
 

Nawewe Una kiranga..kwkw
 
Mmh kumbe haya mambo yapo ee unani kumbusha movie moja hivi ashwazinigger
 
Daaah mkuuu sina lakukushurii ila pongezi zako umecheza kama peleeee

hahah truee kacheza chenga vizuri yaani.. ni kama goli ingeingia kwa tobo tuu, kipa (dem) anashangaa mpira nyavuni kabaki ameduwaa....
 
Yaani wewe mpaka unapata muda wa kuandika hapa kweli ni mvumilivu. Mimi angeshaondoka nyumbani kwangu.
 
Mkuu kwanza nikupe pole,kwa sababu hakuna kitu kinachouma kama mtu kuchezea moyo wako...ni shetani pekee atayekushauri uendelee naye,..kama anaweza muonyesha mtu siri zake nakukudhalilisha sijui kama atashindwa hata kukupa sumu..huitaji malaika kushuka mbinguni kuachana nae,mambo mengine yanatokea mapema ili tuachane na wale walio wabovu hata kama ni masaa matatu kabla ya ndoa...
 
Pole sana kwa yaliyokukumba ila shukuru Mungu kwa sababu amekuonyesha kabla hamjaingia kwenye ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…