kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,143
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....
mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.
Sio mkeo mle tigo halafu sepa ndio maisha
Nyie watu mnao quote thread nzima kwa mstari mmoja mnaboa sana yani.
nakutafuta sikupati mpenzi
Kutongozwa tunatongozwa ila huyu amezidi lol ndo nn kumkandika ex wako na picha anatuma bila aibu. Hapo either mpe appointment mkutane guest ajionee mwenyewe au mtumie namba yako ya simu tena mkiwa mmekaa wote afu sikilizia atasemaje.
Badooo 99% ya wasichana wanajiuza.ukiwa na mpenzi wako ana badoo app ktk simu yake shtuka na kimbia fasta.Badoo ni ya wasichana wanaojiuza 80% ya malaya wa sinza wapo badoo
Piga chini malaya huyo..tena ulikosea ilibidi siku ile ile ungeingia room akukute..kuna wanawake hawathamini k zao..nna rafiki yangu nae alipataga buzi badoo..mpk nikamshangaa unaanzaje kumuamini mtu humjui..mnapeana namba..unamuelekeza ofisini akufate..na siku hiyo alifatwa na mzinga wa gari...lol
Badaae ndio kugundua kumbe gari ni ya mdingi..jamaa ana kistarlet...ni kujiuza huko
Wasichana tujiheshimu..hii ni aibu....haya yanatokea sana
Ukichokonoa yasiyokuhusu utakutana na yatayokukera.. Kilachokufanya umjaribu mpenz wako ni nn!! umeyatafuta mwenyew, cyo ajabu ht ww angekujarbu ungeingia king vilevile. We muache tu huyo maana kashakudhalilisha na hakufai tn. Kisa matatzo ulioyachimba mwenyew. Kiruuu
Wanaume tunapendana sana! Ona baa lilokuepuka!!
Anyway, usijitie matatizo yasiyo na msingi kuhangaika naye. Yaliyokukuta yanakutosha.