NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Wapo na wataendelea kuwepo,kulia yoyote yule yakimfika au kimgusa kwenyewe analia,huenda kwa furahaHabari wakuu,
Naomba tu kujuzwa, bado kuna wanaume ambao wanapenda mpaka wanalia kabisa?
Ww ni mbongo movie?!Wapo wengi tu
Ila wengi wao wapo location katika production ya movie fulani
Huwa unamng'ata ulimi....ur nt a gud kisserWapo..
Wa kwangu sio kupenda tu,bali hata akinimiss analia..
HapanaWw ni mbongo movie?!
Unampaga nn analia?!Nimepata mmoja mkuu, mpaka nikahisi labda ananiigizia, ndio maana nikaja kuuliza kwa wadau
Hehehehe....hollywood mnaongea kiswahili fasaha snHapana
Hollywood
Unamfahamu salim kikeke?Hehehehe....hollywood mnaongea kiswahili fasaha sn
Anaigiza au?!Unamfahamu salim kikeke?
Sasa si unielekeze anaigiza au?!Inaonekana jibu lako ni hapana
Tuishie hapo
Hapana.. Nampaga nyama ya ulimi that he can't miss it.Huwa unamng'ata ulimi....ur nt a gud kisser
Ulimi wako laini?!Hapana.. Nampaga nyama ya ulimi that he can't miss it.
Hua tunalia kwa kuigiza ili kupata papuchi au kusamehewa kama umefumwa na msg za mchepuko au live live kabsa.Habari wakuu,
Naomba tu kujuzwa, bado kuna wanaume ambao wanapenda mpaka wanalia kabisa?
Huyo atakuwa analilia hela yake uliomlia.Bado wapo.
Hiii tupo mbona sema tambua kuwa wote wanaume tunalia provided uwe umepatwa na kifaa ambacho unahisi ukikipoteza hutakuja kukipata tena kutokana labda na income status yako au appearanceHabari wakuu,
Naomba tu kujuzwa, bado kuna wanaume ambao wanapenda mpaka wanalia kabisa?