Bado tunao wale wale maadui watatu (3)

Joe Doe

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
484
917
Hayati baba wa taifa J.K. Nyerere aliwahi kusema kwamba maadui wetu wakubwa ni watatu, nao si wengine bali ni Ujinga, Maradhi na Umasikini.

Bahati mbaya kwa miaka yote tangu tulipopata uhuru bado tunapambana na hao hao maadui watatu mpaka sasa. Takribani miaka 50 ya uhuru wetu bado tumegubikwa na wimbi kubwa la ujinga, maradhi na umasikini. Tena sasa hali ni mbaya zaidi maana watu wanaelimika lakini inavoonekana elimu tunayoipata haitusaidii kutatua changamoto zetu.

Binafsi ninaona kwamba kati ya hao maadui watatu Ujinga ni adui mbaya kuliko wengine. Panapo ujinga basi maradhi na umasikini havitaacha kutuandama kamwe.

Nikirefer uchaguzi wa wajumbe wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) ninaona ombwe kubwa la ujinga uliokithiri kwetu watanzania tukiwakilishwa na sample space iliyoko bungeni, ndio wale wabunge wanaotuwakilisha kwa kupitisha maazimio yanayoamua mustakabali wa taifa letu.

Nimeshuhudia Ujinga wa kiwango cha lami, Ujinga ambao umeshindikana kuondoka vichwani mwetu hata baada ya kutumia nguvu kubwa na muda mwingi kumaliza vidato na shahada mbalimbali. Ujinga wa kutothamini Utaifa wetu unatumaliza

Tumekua tukithamini uchama katika kuamua mambo muhimu ya taifa, hatujifunzi kutoka kwa jirani zetu na nchi nyingine pale wanapoamua kutetea maslahi ya taifa lao huacha itikadi zingine pembeni ikiwepo itikadi za chama, dini na ukabila. Lakini sisi tumeendelea kukumbatia mambo haya na tukiwa proud kabisa kwa tukifanyacho.

Hivi kweli wabunge wengi vile wameshindwa kuona potentiality aliyonayo mtu kama Masha? Wameshindwa kuona the same kwa wengine ambao wameachwa kimizengwe kwenye mchakato wa vyama vyao?(hapa sijazungumzia mchakato wa kuwapata kwenye chama, maana huo nao ni ujinga mwingine pia).

Sijamaanisha hao waliochaguliwa hawafai, La hasha, ila najaribu kuwapima kwenye mizani ya weledi wa siasa, uelewa na uongozi wa baadhi ya wagombea waliopita. Kwa wabunge wa kutuwakilisha EALA basi kwa kuzingatia mambo kadha wa kadha ya kiuweledi sioni mtu kama huyo na wengine wenye uwezo zaidi wanaachwa.

Pale si sehemu ya watu kwenda kupata uzoefu, pale anatakiwa mtu mjuvi wa mambo akafanye kazi, akashindane na wajuvi na wazoefu wengine kutoka state members wengine waliokuja kuhakikisha nchi zao zinareap the best out of everyone. Lakini sisi tunaendelea kuendekeza itikadi za ajabu kwenye mambo yanayotuuanganisha kama taifa.

Ujinga wa viongozi wetu wakati mwingine unaweza kukuacha kinywa wazi. No wonder huungana pale maslahi yao yanapoguswa, lakini si kwa maslahi ya taifa.
 
Wameongezeka na ufisadi
 
Mkuu kwenye hayo yote matatu tungekuwa tumeshayamaliza miaka 40 ilopita,lakini aminini nawaambia ADUI mkubwa wa nchi hii ni mafisiemu siku wananchi wakiliweza dudu hii na kuliangusha.Umaskini,maradhi na ujinga vitabaki kuwa historia katika nchi yetu kama utumwa wa waisrael waloupitia kule misri,fisiemu haitaki tutoke misri
 
Ujinga ndio amezidi kujiimarisha aisee, yaani ule ujinga tuliokuwa nao 196, now umeimarika na kuwa ujinga wa hali ya juu kuutoa huu sidhani kama inawezekana chini ya ccm.
 
You may be right!!lakini masha siye aliyeshindwa na wizara ya mambo ya ndani?
 
Sasa hivi tuna maadui wanne wa taifa:

1. Ujinga

2. Umasikini

3.Maradhi na

4.CCM.
 
Mkuu kwenye hayo yote matatu tungekuwa tumeshayamaliza miaka 40 ilopita,lakini aminini nawaambia ADUI mkubwa wa nchi hii ni mafisiemu siku wananchi wakiliweza dudu hii na kuliangusha.Umaskini,maradhi na ujinga vitabaki kuwa historia katika nchi yetu kama utumwa wa waisrael waloupitia kule misri,fisiemu haitaki tutoke misri
Haya tutoe wewe basi uliemkamilifu kila sekta
 
Hayati baba wa taifa J.K. Nyerere aliwahi kusema kwamba maadui wetu wakubwa ni watatu, nao si wengine bali ni Ujinga, Maradhi na Umasikini.

Bahati mbaya kwa miaka yote tangu tulipopata uhuru bado tunapambana na hao hao maadui watatu mpaka sasa. Takribani miaka 50 ya uhuru wetu bado tumegubikwa na wimbi kubwa la ujinga, maradhi na umasikini. Tena sasa hali ni mbaya zaidi maana watu wanaelimika lakini inavoonekana elimu tunayoipata haitusaidii kutatua changamoto zetu.

Binafsi ninaona kwamba kati ya hao maadui watatu Ujinga ni adui mbaya kuliko wengine. Panapo ujinga basi maradhi na umasikini havitaacha kutuandama kamwe.

Nikirefer uchaguzi wa wajumbe wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) ninaona ombwe kubwa la ujinga uliokithiri kwetu watanzania tukiwakilishwa na sample space iliyoko bungeni, ndio wale wabunge wanaotuwakilisha kwa kupitisha maazimio yanayoamua mustakabali wa taifa letu.

Nimeshuhudia Ujinga wa kiwango cha lami, Ujinga ambao umeshindikana kuondoka vichwani mwetu hata baada ya kutumia nguvu kubwa na muda mwingi kumaliza vidato na shahada mbalimbali. Ujinga wa kutothamini Utaifa wetu unatumaliza

Tumekua tukithamini uchama katika kuamua mambo muhimu ya taifa, hatujifunzi kutoka kwa jirani zetu na nchi nyingine pale wanapoamua kutetea maslahi ya taifa lao huacha itikadi zingine pembeni ikiwepo itikadi za chama, dini na ukabila. Lakini sisi tumeendelea kukumbatia mambo haya na tukiwa proud kabisa kwa tukifanyacho.

Hivi kweli wabunge wengi vile wameshindwa kuona potentiality aliyonayo mtu kama Masha? Wameshindwa kuona the same kwa wengine ambao wameachwa kimizengwe kwenye mchakato wa vyama vyao?(hapa sijazungumzia mchakato wa kuwapata kwenye chama, maana huo nao ni ujinga mwingine pia).

Sijamaanisha hao waliochaguliwa hawafai, La hasha, ila najaribu kuwapima kwenye mizani ya weledi wa siasa, uelewa na uongozi wa baadhi ya wagombea waliopita. Kwa wabunge wa kutuwakilisha EALA basi kwa kuzingatia mambo kadha wa kadha ya kiuweledi sioni mtu kama huyo na wengine wenye uwezo zaidi wanaachwa.

Pale si sehemu ya watu kwenda kupata uzoefu, pale anatakiwa mtu mjuvi wa mambo akafanye kazi, akashindane na wajuvi na wazoefu wengine kutoka state members wengine waliokuja kuhakikisha nchi zao zinareap the best out of everyone. Lakini sisi tunaendelea kuendekeza itikadi za ajabu kwenye mambo yanayotuuanganisha kama taifa.

Ujinga wa viongozi wetu wakati mwingine unaweza kukuacha kinywa wazi. No wonder huungana pale maslahi yao yanapoguswa, lakini si kwa maslahi ya taifa.
Wewe uko vizuri unajua sana kuliko hao waliochaguliwa hebu tuambie ulitaka nani awepo na nani atolewe?
 
Ujinga ndio amezidi kujiimarisha aisee, yaani ule ujinga tuliokuwa nao 196, now umeimarika na kuwa ujinga wa hali ya juu kuutoa huu sidhani kama inawezekana chini ya ccm.
huo mwaka 196 we ulishazaliwa au ndo kilevi kipya kinavyokutuma??
 
Tulivyo sasa hivi hatuna tofauti na waliokuwepo wakati huo, zaidi tumejua kuvaa nguo tu na kusoma herufi ambazo hazitusaidii.
 
Ukweli Tanzania tukihesabu vizuri tutagundua maadui tunao wengi zaidi ya hao watatu. Hii ilikuwa nikutudumaza akili kufikiri kwa hawa maadui watatu tu.
 
yani unapima ujinga kwa kutochaguliwa masha?.
Huyu unaemtetea alishakua mbunge wa nyamagana mwanza alishawahi kua waziri wa mambo ya ndani je ni kipi alichokifanya ambacho kitaleta ushawishi wa yeye kupewa nyazifa zingine?
 
Back
Top Bottom