Bado siku 7 tu za kumuondoa mkoloni mweusi

Bado siku 7 tu za kumuondoa mkoloni mweusi

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,400
Tanzania itashuhudia rais wa mioyo akiapishwa .

Tanzania itashuhudia chama kipya cha siasa pamoja na washirika wake wakiingia madarakani.

Matarajio:
Maisha ya watu hasa wa vijijini kujiona na wao ni watanzania
Elimu bora na bure chekechea mpaka chuo kikuu
Hospitali zetu kua za kisasa vifaa tiba madawa hospitalini ya kutosha
Kilimo chetu kua cha kisasa
Wafugaji kufurahia mifugo yao
Viwanda kujengwa na vilivyokufa kuanza kufanya kazi
Maji safi na salama kila kijiji

Na hili linawezekana kwa kua tuna watu wanaotamani kuona maisha ya watu wa tanzania yakiwa bora na hii itasababisha uchumi wetu kukua kwa asilimia 11 ndani ya kipindi cha miaka mitano

Hii ni mikakati ndani ya miaka _5 ya uongozi wa lowasa na ukawa

Tunataka tuwsonyeshe namna ya kuongoza na kusimamia rasilimali za watanzania ili ziwanufaishe wao kwanza

Rafiki zetu wakubwa ni mama lishe baba lishe machinga bodaboda wakulima na wafugaji .
Hawa ndio rafiki zetu ole wake atakae wanyanyasa atakiona na mtema kuni.
 
Bado siku chache jamaa anakatwa tena. Hakuna namna nyingine.
 
Ccm itaboronga said I huduma za afya NA elimu
 
Tokea ameingia Rais Kikwete madarakani nimeichukia CCM kuliko kitu chochote. Naomba mungu amalize muda wake salama na kwa amani.
 
Bora arudi mkoloni mzungu kuliko huyu anayeitwa CCM.
 
ngoja tusubiri kura yangu moja bado sijahamua wa kumpa
 
Kichinjio kipo kwa ajiri ya kulikata hilo DUDU CCM.


swissme
 
Back
Top Bottom