Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,242
ile ilikuwa special thread a kutafuta wabaya zangu. sometimes ukitaka kummlazia adui jifanye unasalimu amriVp ile project ya kujiua? Ulifanikiwa?
nilifuta kauli. na mbona umeng'ang'ania sn nife...unataka urithi mazaga zaga au??Si ulisema unataka kujiua??
jiwe moja lililopo pale magogoni linanitosha..natembea nalo kila sehemuKaribu chuga man huku ni full burudani ila uwe na mawe
Si ndio mtaji wako!jiwe moja lililopo pale magogoni linanitosha..natembea nalo kila sehemu
leo jirani na kwako.Si ndio mtaji wako!
Endelea kula bata vip wapi Leo kwa morombo au?
Hii The Fuzz Itabuma siku sio nyingMkuu bado hujaiona arusha huko ni viwanja vichafu ,supu asubuhi kapige stadium bar au ppicnic bar/mchana kale rose garden club ,bot club kisha pita the fuzz kisha mjengoni olasity hutakaa urudi dar
Kina watu MNA masimango sana. Atakuwa alifanikiwa aseeVp ile project ya kujiua? Ulifanikiwa?
uko wapi mkuu nikulete nyumbani kidogo nikuzungushe na maeneo huta jutiaWakuu hamjambo?
Nilitegemea kurudi [HASHTAG]#DarCityBaby[/HASHTAG] ila kila nikikumbuka hilo joto, na mikelele, na mji ulivyojaa matapeli, kwakweli nakosa hamu. Ila sababu kubwa ni Bata kuninogea hapa Arusha city, kwakweli huu mji ni Paradise ndogo.
Hujakaa sawa toto la kichaga hili hapa, ukiangalia kulia kuna hafcast wa kimarekani na kibongo unachat chat nae, hujashusha glass mara muhudumu anabadilishana nigh shift na mchina....tchaaaa
Nimetembelea viwanja ila naona ni vingi mnooo wadau, nilianza Zest, Pin Point, Viavia, Figgy Tree, nk...yaani nikaona nipumzike maana ni full raha, hali ya hewa inabamba, madon hayana stress, kwakeli nataka nihamie huku.
Pia nimenotice Trending news za Dar huku hazipewi shobo kabisa, yaani watu hawana time na udaku au big news sijui Lulu kaachiwa, mara Kiba amekwama YouTube, au sijui Magufuli katisha watu tena, yaani huku ni kama watu na nchi yao na mambo yao.
Arusha tamu sana. Niishie hapo