Bado nina ndoto ya kwenda Ulaya

Bado nina ndoto ya kwenda Ulaya

Abdu_22

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
14
Reaction score
14
Mimi moja ya vijana wenye ndoto na Ulaya binafsi yangu sina connection yoyote ya kwenda huko ila nakumbuka zamani nikiwa shule ya msingi nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke wa KIZUNGU Ili iwe rahisi mm kufika huko, mpaka sasa kiukwel sijui hata huyo mzungu nampatia wapi.

Nimewasilisha hili Ili mwenye mchango wowote kama sio wa nauli ya jet🤣 basi hata nitumie njia gani kufanikisha ndoto zangu.
 
Mm kote nipo lkn olah watu wa morogoro wanasemaga karagabao... Penpal word,meet 2, Extentsworddating
 
Mimi moja ya vijana wenye ndoto na Ulaya binafsi yangu sina connection yoyote ya kwenda huko ila nakumbuka zamani nikiwa shule ya msingi nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke wa KIZUNGU Ili iwe rahisi mm kufika huko, mpaka sasa kiukwel sijui hata huyo mzungu nampatia wapi.

Nimewasilisha hili Ili mwenye mchango wowote kama sio wa nauli ya jet🤣 basi hata nitumie njia gani kufanikisha ndoto zangu.
Nenda Dubai
 
Unataka kwenda kwa watu ambako wenyewe wamehangaika kupatengeneza? Ndio, najua walitumia watumwa, mababu zetu kufanya hivyi. Lakini hiyo siyo sababu na kufanya uende, ni kujidharaulisha na kukosa pride. Tafuta akili na wewe utengeneza kwenu.

Uhalisa unaojulikana duniani kote ni kwamba serikali sio chanzo cha maendeleo na haiwezi kuyaleta, kazi yake ni kuongoza na kuwezesha tu. Wananchi ndio wanaoleta maendeleo, kama wamelala na wavivu basi taifa huwa hivyo.

Ukienda USA utakuta kila kitu kilichoigeuza na kinachoifanya America kuonekana na kuitwa superpower ni kinamilikwa na wananchi. Mining industries, weapon manufactors, housing, entertainment industries, basic-needs provides kama Walmart. Vyote vimeanzishwa na wananchi, watu binafsi.

Walmart ilianzishwa na kijana mmoja wa miaka 44 baada ya kutoka Europe kupigana vita vya pili vya dunia. Leo Walmart ina thamani ya billion 514 USD, yaani nashikilia asilimia 2.4 ya GDP au uchumi wote wa Marekani. Huku kwetu kijana ana ndoto za kukimbia ardhi mama aende nje. Sikulaumu wala sikutukani, bali ni uhalisia mkubwa wa taifa hili. Culture ni muhimu sana.

Waafrika hawana experience ya kutosha na civilization, wanadhani serikali pekee ndio ina mamlaka na wajibu wa kuendeleza taifa. Utasikia, "governmental corruption is the source of national poverty." Ukuwauliza serikali gani sio corrupt duniani? Wanatoa macho na kung'aza sharubu. Hahaha.

Yes, sijali kama unatania.
 
Back
Top Bottom