bado niko mwanza

Napika gali sasa hivi,nashukuru sana kuniwekea hiki kitoweo
 
Hongera ila mbona wamekuwekea samaki wadogo wadogo kama perege wa bwawa la Mtera wakati ukiwepo Mwanza unatakiwa ule samaki wale wakubwa wakubwa
 
Usiondoke bila kwenda Rock Bottom! Halafu hivyo visamaki mboa viduchu? nenda Vila bana
 
Threads ziwe zianangalia na mwezi bana watu tuna chungu 13 we unaweka
misosi bana unanifanya nishindwe kuendelea na swaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…