Bado naumwa, msaada tafadhali

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2019
Posts
375
Reaction score
419
Nawasalim kwa pamoja ndugu zangu
Mimi kijana wa miaka 32
Nimeoa Nina mtoto 1
Tatizo langu ni
Maumivu yaliyopitiliza na ya muda mrefu ya kiuno
Maumivu ya mara kwa mara ya kichwa ni kama miaka 7 Sasa maumivu ya kichwa japo yalianza kidogo kidogo Ila kadri siku zinavyozid kwenda maumivu yanaongezeka

Pia wakati mwingine tumbo linanguruma lkn haliumi wakati huo huo Kuna mchakacho nausikia kichwani kama mlio wa kugonganisha nyaya (unapita shwiiiiiiiing )

Pia Nina uchovu uliopitiliza si wa kawaida
Huo uchovu unaambatana na kichwa kuwa kizito sana

Naonekana kama nililewa sana jana kupitiliza Ila sijatumia pombe

Pia napata pumzi mbaya yaan napumua kwa shida hasa usiku Kuna muda nakosa pumzi kabisa Hadi mke wangu ananipepea na natokwa na jasho sana

Niliwahi kwenda hospitali wakanipima na ex ray walinipiga Ila hawakuona tatizo
Walinipa tu daw za maumivu Ila hazikunisaidia

Nimekuja kwenu kwa tumain kubwa la kupata msaada wa kimatibabu au ushauri

Namba yangu ni 0753939619
Kwa yeyote mwenye ushauri naupokea kwa mikono miwili
Ahsanten

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kufanya hivyo
Nilionekana nina acid kas kikubwa tu lkn sikuwa na tatizo lingine na nimepima hospital kubwa na Dr ninayemuamini

Badilisha hospital nenda kwingine.... Utampata Dr makini atakwenda hatua kwa hatua mpaka agundue tatizo... Usijaribu kwa waganga utapoteza dira
 
Apo Imani yako ndo itakayo kuponya…kwa hzo dalili ni maswala ya imani tu
 
Niliwahi kufanya hivyo
Nilionekana nina acid kas kikubwa tu lkn sikuwa na tatizo lingine na nimepima hospital kubwa na Dr ninayemuamini

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Yuko sahihi aliyekwambia hivi most likely kwa jinsi unavyoeleza una vidonda vya tumbo! Kafanye OGD hapo NSK au Shree Hindu ukafanye na vipimo vingine hapo Lancet
 
Badilisha hospital nenda kwingine.... Utampata Dr makini atakwenda hatua kwa hatua mpaka agundue tatizo... Usijaribu kwa waganga utapoteza dira
Hapo kwa "waganga" umemaanisha nini?Maama dokta/tabibu ndiyo mganga mwenyewe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…