Bado natafuta mchumba (mke)

Badonatafuta

New Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Naitwa Godfrey wa Mbeya Tanzania natafuta mchumba wa kuoa,nna umri wa miaka 25,ni muajiriwa,dini yangu mkristo.Mchumba nnaye mtafuta yeyote mwenye mapenzi ya kweli anitafute kwa namba:0657753472.na ahidi kumpenda kwa dhati nakumjali endapo kama ntampata.Jioni njema wana Jf wenzangu.
 
Mnh mara hii umeongeza umri eti una 25!si ulisema una 23wewe ngoja watu walete birth certificate yako km sitti mtevu
 
Unakuwa fasta wiki iliyo pita ulisema una umri wa miaka 23 leo 25 wiki ijayo 27 wee ni noma
 
Mnh mara hii umeongeza umri eti una 25!si ulisema una 23wewe ngoja watu walete birth certificate yako km sitti mtevu

Ahhaahha hakika umenifanya niongeze siku za kuish kwa kucheka
 
Ningekuwa tayari ila naogopa hata umri wako huna hakika nao!? Utaniaibisha eti!!
 
Unaowaona wamekushinda utaviweza vinvuli?????
 
nenda kariakoo wapo kibao tuu utabeba hata fuso hao wachumba
 
jamani siye yule mnae mjua ninyi,huyu nirafiki yangu aliniomba kuwa atumie email yangu kutafua naye anashida ya kupata mchumba,mimi ni Geofry nisha pata mchumba anaishi morogoro anaitwa Vai na yeye akaomba atumie email yang baada yakuona kunamafanikio maana mimi nilifanikiwa siku ilele japo sikuleta mrejesho ndo kosa nlo fanya but mimi nimepata huyu ni my frnd.Ucku Mwema.
 
Siku ukipata mchumba inabidi ubadilishe ID
 
Age yako Kama ya actors wa bongo movies inapanda nakushuka Kama mgonjwa wa BP Mke hupati....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…