Malica husna
Member
- Jun 30, 2018
- 31
- 20
Naitwa husna nina umri wa miaka 21 elimu yangu ni certificate ya kidato cha nne nina ishi dar es salaam kitunda
Wakuu natafuta kazi nina uwezo wa kuuza duka na kusimamia biashara Ipasavyo
Ni muaaminifu pia kama una kazi nyingine tofauti labda waweza nielekeza naweza ifanya kwa uwezo mkubwa
Natumai tutasaidiana wakuu
Asanteni