Jiunge dojo kule Keko akilianzisha na wewe unajibu mapigo....
Tafuta movie ya JLo inaitwa "Enough" utaelewa.
hahahaha ahsante kwa ushauri!
pole, hapa mwamuzi ni wewe mwenyewe.
Cost benefit analyisis inahusika.
Pima raha anayokupa mmeo na maumivu ya kipigo, kipi kina nguvu zaidi kwako, ndo ufanye maamuzi.
Kama sio kwamba ana tatizo la ukichaa, ama self esteem, unaweza ongea naye akaanza kuhuduria masomo ya kuthibiti hasira ama akaonana na wataalam wa saikolijia.
Vipi, anapiga nyasi? Maana wapiga nyasi nao huwa wana mashetani ya muda.
Nyasi gani?