Bado naishangaa (admire) Urusi

Kwa vyovyote watakua wamesha i develop hii technology na watakua wana kitu kingene kipya na cha kisasa zaidi
Kifo cha mvumbuzi wa Ekranoplan Rostislav Alexeyev kinaweza kua ni natural death au pia ni kifo cha elimination kwa kutaka ku default na kuipeleka tecnologia hiyo kwa Wamarekani maana yaonekana kama alifanya wenzake waliona kama kafanya hujuma flani iliyopelekea yeye kua demoted ikam frustrate mpaka akaamua kuacha reseach ya hiko chombo

Picha ninayopata hapa ni kwamba jamaa wako vizuri sana upstairs kuanzia viongozi wao wa kisiasa,inteligency firm yao, wana sayansi wao na hata wanajeshi wao, wanajua wanachokifanya

Asante sana mkuu for this piece of information
 
Du, kumbe walianza zamani sana
 
Nimeisoma nimebaki kinywa wazi. Hawa majamaa wanatumia akili nyingi sana. Halafu mission zao ni za hatari sana.
 
Mrusi ndio kiboko ya wote
Hata cruise missiles alivumbua mjerumani na russian lakini mmarekani kwa kiherehere ili ajulikane kuwa yeye ni balaa eti ndie alievumbua lakini haikutumika kwenye vita.
Kwa inteligensia pia wako mbali sana na ikumbukwe kama USA anategemea jews kwa msaada hawa waisrael wapo russian pia na ni wataalamu wakubwa sana na matajiri pia, ndio maana USA hawezi kuigusa urusi



Sent from my SM using Tapatalk
 
Kwa kifupi kabisa hata usiumize kichwa mkuu, sababu ni moja tu :-

Urusi ni taifa lililojengwa na watu wa asili hiyo ya Urusi lakini Marekani ni taifa la kutengeneza(Wahamiaji).

Fahamu watu wa asili wa taifa la Marekani ni Red Indies, hakuna uzalendo wa kweli ndani ya taifa la Marekani. Taifa lililojengwa na wahamiaji ni rahisi sana kuingiliwa na watu wasiojulikana. Mkuu jeshi la Marekani lina kila aina ya jamii mpaka wachina, red indies, blacks. Blacks and red indies have experienced almost the same scars so they can easily be purchased.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"You people of the west don't know our Russian Mafia Yet"
Sergey Molotov
 
Sergey Molotov
Sergei Molotov (Russian: Сергей Молотов) (also known as Cyborg Molotov) is a fictitious character involved in the Russian Campaign, he was a Novaya Russian Lieutenant, later Major, and finally General that served under Grigor and Grigor II.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…