Bado mbivu Spika na CAG

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
Jaji Mkuu wa Tanzania amemwandikia barua Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu kumtaka ashughulikie suala la Mahakama Kuu kukataa kupokea shauri la Zitto Kabwe na wabunge wanne wa upinzani la kupinga Spika Ndugai kumuita CAG Prof. Mussa Assad
 
Mahakama itusaidie kufafanua katiba inasemaje.
 
Shauri likishapojelewa CAG harusiwi kuwasili Dodoma mpka shauri litakapo tolewa ufafanuzi na mahakama.

Inaonekana Zitto and Co. wanapoint maana lile la mwanzo lilidodonshwa kwa pointi 2 dhaifu tu, ambozo zilikuwa zina rekebishika tu.
 
Hii ishu inanikumbusha sakata la mita 200!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…