Bado kuna watu wana mambo haya

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Bado kuna watu wana mambo hayaanakupigia simu unaona namba tu alafu sauti huifahamu,ukimuuliza wewe nani anakujibu mpenzi wako unamuuliza mpenzi wangu yupi au ndo jina lako anakuuliza kwani una wapenzi wangapi.

Hahahaaa! mimi huwa nawajibu kuwa nina wapenzi wengi sana hata mia wanazidi,kuna wengine sasa yaani kumuuliza wewe nani ni kosa eti kumbe ulishafuta namba yangu wanashindwa kutambua kuwa simu zinaibiwa kila kukicha,zinaharibika,kubadilisha simu.

Weekend njema wapendwa.
 
interesting January hii utatafutwa hadi na wapenzi wa primary
 
He he he mimi bado ninayo hayo mambo
 
kuna watu wapo hivyo sana. mimi nikimuuliza mtu hivyo kama hajibu, jibu stahili namuuliza tu shida yake...
 
ukimuuliza we nani alfu akajib me mpnzi wako unamuuliza ten...kwamb nimekuuliza jina lako sijakuuliza we ni nani kwangu au una cheo gn kwangu....alfu uone km atakosa kutoa jibu sahihi @ndo dawa yaoo!!!😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…