Mhh hata ukipangiwa ukuu wa wilaya ni adhabu ?Kigoma ni mkoa uliotelekezwa kabisa. Yaani, ukipangiwa kazi Kigoma, ni adhabu kubwa. Binafsi, huyu mkandarasi simwelewi, sijawahi kusikia amepewa onyo hata katija uzembe huu. Kwa kweli, ukiangalia mikoa mingine kama Arusha-Kilimanjaro, Kigoma ni aibu.
Dah, Mkuu labda huo ukuu WA wilaya, maana utapewa GARI ya ukweli ambayo halitishiwi vumbi wala barabara mbovu . Vinginevyo, ni msoto WA hali ya juuMhh hata ukipangiwa ukuu wa wilaya ni adhabu ?