Bado kuna maduka mengi Arusha hayatumii EFD!

Bado kuna maduka mengi Arusha hayatumii EFD!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Ili kuwasaidia TRA kukusanya kile kilicho halali yao ni vyema tukawa wanoko na kuwatumbua wafanyabiashara wajanjawajanja.

TRA Arusha bado inahitaji kufanya kazi kubwa kwani kuna maduka mengi au kadhaa ya wahindi hayatumii mashine za EFD...sina haja ya kuyataja lakini ni kazi ya TRA Arusha kupita kwenye maduka ya wahindi katikati ya jiji la Arusha na kuhakikisha mashine zinatumika na risiti zunatolewa.
 
Natumaini wahusika watapata taarifa na kufuatilia mkuu
 
Arusha ndo kuna wapiga dili wengi kwenye hii nchi labda wabadilishe uongozi
 
Kwa jinsi nchi hii ilivyo..Unaenda dukani bidhaa inauzwa 100,000Tsh mwenye duka anakuwambia bei hiyo ni pamoja na VAT kama unataka isiyo na VAT na bila risiti nitakuuzia kwa 82,000Tsh...Wewe utafanyaje?
 
Nitanunua kwa hiyo 82000
 
Back
Top Bottom