Bado kidogo, tunakaribia kufika Sudan

Ndo hivo huwezi kufananisha Zimbabwe, Algeria na Sudan na nchi yetu, kwani hao viongozi wa nchi nilizotaja wamekaa muda mrefu sana kwenye nchi zao, vile vile bado wapo wengine ambao wamekaa muda mrefu . hapa hapa africa.
CCM imekaa muda gani
 
Ujasiri wa kuweka tu jina lako umekushinda itakuwa hayo unayoyaota.
 
Watanzania sio wajinga, bado kidogo tunakaribia Sudan.

Sent using Boeing 737-MAX 8
Hakuna kitu kama hicho labda kwenye mitandao, kama tulishindwa kufanya hivyo mwaka jana kwenye hamasa za Mange Kimambi, hata watu mia mbili kujitokeza barabarani hakuna.

Hatuna uthubutu huo!
 
CCM imekaa miaka mingapi???
Unadhani tatizo ni hao watu?Magufuli alikuwa mtu mzuri sana,Prof.Kabudi alikuwa mtu mzuri sana,Kitila Mkumbo alikuwa mtu mzuri sana,Humphrey pole alikuwa mtu mzuri sana,lakini hao wooote wanakuwa spoiled na CCM,kweli kabisa Sudani yaweza kuwa njia yetu!

Japo kweli hatuipendi njia hiyo,lakini taratibu tunapelekwa huko kwa lazima,haiwezekani watu wanatumia sambusa za viburudisho vya sh.bilioni moja,wengine wanaambiwa maslahi yao yameboreshwa kupitia barabara,sijui na umeme vijijini, inatia hasiraaaaaa!!!!

We waache waendelee tu,waendeleee tu!!!
Ndo hivo huwezi kufananisha Zimbabwe, Algeria na Sudan na nchi yetu, kwani hao viongozi wa nchi nilizotaja wamekaa muda mrefu sana kwenye nchi zao, vile vile bado wapo wengine ambao wamekaa muda mrefu . hapa hapa africa.
 
Keyboard hero.
 
Ningekuwa mie ndio Magufuli, upinzani wa kijinga jinga kama wa sasa ningeufyekelea mbali kabisa.
 
Lini sasa?
 
Hakuna kitu kama hicho labda kwenye mitandao, kama tulishindwa kufanya hivyo mwaka jana kwenye hamasa za Mange Kimambi, hata watu mia mbili kujitokeza barabarani hakuna.

Hatuna uthubutu huo!
Omar al bashir alikuwa "mbishi" kiasi cha kutolewa arrest warrant ya ICC na aliogopeka sana na raia wa sudan ila wajua yu wapi saizi?

Uvumilivu wa binadamu una kikomo, kikomo cha uvumilivu wa watanzania kitapofika CCM hamtaamini macho yenu kitachowatokea!
 
Mkuu wewe mbona unakuja haraka nani CCM??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…