Badilish taa za keyborad yako.ziwe kam disco light(]Keyboard Light Looks Like Disco)

yaani nimecheka mpaka machozi yananitoka! Yaani hayo maandishi yalivyo na makorongo! duh hii kali sana. sasa itakuwaje boss akiingia?

Hapo utata! utamwambia kibodi ina virus!! lol waaahahahaaa! teh teh
 
Back
Top Bottom