Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 427
- 577
Ukibadilisha mtazamo wako(mind) na maisha yako yanabadilika na kuweza kufanikiwa.
Chukulia huu hapa mfano, wewe unajiangalia sura yako kwenye kioo umeona upele kwenye sura uwezi kuondoa upele kwenye taswira ya sura yako kwenye kioo au kwenye kioo unataka kutoa upele itashindikana ,
Hili upele uondoke na usiuone kwenye kioo inabidi uondoe kwenye sura yako halisi(mwili) na hapa taswira yako ya kioo pia upele utaondoka.
Hii ndio kama huo mfano mawazo yako(mind) ndio kama mwili unachopasa kubadili na maisha yako au( taswira ya kioo)
Hivyo ukitaka kubadili maisha yako anza kubadili mawazo yako, taswira(maisha yako) itabadilika pia , anza kubadili vitu hivi
Ulivyovibeba toka upo mtoto labda kutoka kwa wazazi, jamii, mazingira, shuleni, experience yako ya maisha, kutoka kwenye dini n.k mfano.
Katika ukoo au familia yetu akujawai kuwa na mtu tajiri hivyo ata nikipambana sitafanikiwa, pesa ni ngumu kupata, Mafanikio ni ya ukoo fulani tu,
Kuwa tajiri lazima ufanye dili haramu kwa njia halali uwezi toboa, Mafanikio ni ya wachache, kuna mitazamo kuhusu ndoa labda kwetu ndoa azidumu,akuna wanaume wamenifu au wanawake , akuna upendo wa kweli , maisha mazuri ni ya wachache n.k
Hivi vyote inabidi uondoe kichwani mwako, ukishaondoa, kuwa mtu chanya amini na wewe una stahiri vitu vizuri , Mungu kakuumba hivyo wewe ni wa thamani kubwa , anza kuchukua hatua angalia ni eneo gani upo vizuri , kuwa na imani, uepuka ushauri kwa watu ambao awana malengo yoyote ,
Fanya kitu consistency(kurudia mara nyingi), omba kwa Mungu , Yesu anasema utachokiomba amini na kitakuwa kweli, imani ni kama ufunguo wa mlango wa mafanikio yako kufunguka.
Note:Changamoto nyingi zinajirudia katika familia, ukoo au vizazi kuna sababu ambazo ni limitation belief (kiwango cha imani watu walichojiwekea kuhusu mambo fulani hivyo hili kuvunja hapa inaitaji Mungu(alpha na omega).