.Mahitaji
Unga wa dengu 1 cup
Kitunguu maji 1/4...kata ndongo ndogo
Pilipili kijiko 1 cha chai..
Hamira 1 tea spoon.au baking powder
Pilipili mboga 1/4...kata ndogo ndogo
Chumvi kiasi
Curry powder 1tea spoon
Maji 1/2 kikombe
Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
Changanya unga wa dengu na kitunguu maji
Weka pipilipili mboga,pilipili ya kuwasha,chumvi,curry powder
Mimina maji kidogo kidogo huku wachanganya mchanganyiko wako kwa mikono safi
Ukimaliza weka sehemu ya joto kwa dakika 30
Weka mafuta kwenye karai na choma badia zako hadi ziwe brown..
Chatne
Nazi 1/2
Pilipili ya kuwasha
Chumvi kiasi
Ndimu/ limao
Namna ya kutaarisha
Kuna nazi yako
Weka pilipili,chumvi na maji kidogo saga kwa blender hadi iwe laini
Weka kwenye bakuli tia ndimu/limau.
Badia na chatne tayari kwa kuliwa
.
Shosti Aaaa aa aa.... hapo Toronto nasikia umechuwa chain of Fast Food line hiyo inapeta " tuje kujibwaga huko ?" Bajia hizo umezipatia 100% !! MashAllah mkono wako wa kheri!
Siku moja nataka tupikeee mpaka mkeka ujae mahanjumati
U welcome.ndio uzipike ukipata mda habibty...raha jipe mwenyeweHlf sijala siku nyingi hizo badia, tushazoea Ramadan mpm Ramadan.
Thnx habibty
Ahhahahahahahhaha siku hiyo tujilie kwa raha zetu....
Halafu unafanyaje shosti?Sie tunawekaga pia mabiringanyi yale madogomadogo na tunagawanya info two halves!
Yaani hayo mapande ya biringanya wachovya kwenye huo mchanganyiko wa dengu kama unavyochanganya mapilipili mboga na vingenevyoHalafu unafanyaje shosti?
Maana kuna wengine pia hukisaga saga viazi vya vile vidude vya kuparia....ntaiweka recipe yake inshaallah
Ahhahahhhahaha wacha tu...unantoa mate shost mana mambo hayo nnavoyapenda kwa pilpil hapo oohooo
Lazima nitoke kitambi mwaka huu!!!
Hapa nlipo harufu ya Badia imenimaliza, Pumzi zimesimama je, nikiona kwa macho sintazimia.... akill haniyaa, siha wa Afya !!Mahitaji
Unga wa dengu 1 cup
Kitunguu maji 1/4...kata ndongo ndogo
Pilipili kijiko 1 cha chai..
Hamira 1 tea spoon.au baking powder
Pilipili mboga 1/4...kata ndogo ndogo
Chumvi kiasi
Curry powder 1tea spoon
Maji 1/2 kikombe
Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
Changanya unga wa dengu na kitunguu maji
Weka pipilipili mboga,pilipili ya kuwasha,chumvi,curry powder
Mimina maji kidogo kidogo huku wachanganya mchanganyiko wako kwa mikono safi
Ukimaliza weka sehemu ya joto kwa dakika 30
Weka mafuta kwenye karai na choma badia zako hadi ziwe brown..
Chatne
Nazi 1/2
Pilipili ya kuwasha
Chumvi kiasi
Ndimu/ limao
Namna ya kutaarisha
Kuna nazi yako
Weka pilipili,chumvi na maji kidogo saga kwa blender hadi iwe laini
Weka kwenye bakuli tia ndimu/limau.
Badia na chatne tayari kwa kuliwa
Hapa nlipo harufu ya Badia imenimaliza, Pumzi zimesimama je, nikiona kwa macho sintazimia.... akill haniyaa, siha wa Afya !!
Ukhtii ..Maakulati yako unapamba kaDhahabu (multiculture) kwani kila mtu hupenda dhahabu... hivo taswira za maakulati zavutia. mie badia nshaziona ila kuzikaanga sijawahi..Ahaahahahahha kwani hujawahi kuona?