Mkuu hivi nikiagiza simu mpya aliexpress sitakatwa kodi?
Hakuna kwenye simuMkuu hivi nikiagiza simu mpya aliexpress sitakatwa kodi?
Sawa sawaHakuna kwenye simu
Ilishafutwa tangu mwaka jana ndiyo maana bei ya simu imepungua kidogo
Kuna tofauti ndogo sana kati ya kuagiza na kununua hapa nchini, hiyo baada ya kuondoa kodi
Nipe maujanjaUjanja wako tu.