Mkuu watanzania wapo wengi tu wenye uwezo ila kutokana na Nepotism ni vigumu sana kwa mtanzania mwenye uwezo kuweza kupata cheo kama hauna network wa maana.Kigezo cha kupata cheo hapa tz sio on merit principle bali ni jinsi gani una mtandao wa watu wenye maamuzi na si vinginevyobenki wamepewa waswahili imekua balaa. wakija wakenya... tunalalama
benki wamepewa waswahili imekua balaa. wakija wakenya... tunalalama
ni lini umeanza kufuatilia mwenendo wa bank hii? mgawanyo wa share upo vipi? unafahamu management yake ipo vipi? acha kasumba
thanks, ila umesahau kitu kimoja ceo wa hii benki aliitwa jembe, mashine, supa, mwekezaji, jiwe la mwashi nk. my point ni kwamba tumetekenywa tunatekenyeka, hivi issues ni baada ya mafuru?? au "SYSTEM" imemmaliza mafuru na ile mikopo ya "national interest" while si kwelie ni national interest bali ni matumbo interest??Mkuu watanzania wapo wengi tu wenye uwezo ila kutokana na Nepotism ni vigumu sana kwa mtanzania mwenye uwezo kuweza kupata cheo kama hauna network wa maana.Kigezo cha kupata cheo hapa tz sio on merit principle bali ni jinsi gani una mtandao wa watu wenye maamuzi na si vinginevyo
Kwa nini siku zote mnafikiri suluhisho la matatizo yetu litatoka nje ya mipaka yetu? NBC kama wameshindwa haimanishi watz hawawezi, mbona NMB au CRDB ni success story inaongozwa na wageni? Grow up man usisukume tatizo jaribu kutatua!benki wamepewa waswahili imekua balaa. wakija wakenya... tunalalama
Tunaumizana wenyewe kwa wenyewe. Bad debts zinasababisha bank iongeze interest rate kwa wakopaji.
thanks, ila umesahau kitu kimoja ceo wa hii benki aliitwa jembe, mashine, supa, mwekezaji, jiwe la mwashi nk. my point ni kwamba tumetekenywa tunatekenyeka, hivi issues ni baada ya mafuru?? au "SYSTEM" imemmaliza mafuru na ile mikopo ya "national interest" while si kwelie ni national interest bali ni matumbo interest??
why now tuna mswahili?? je wakiwa wao, si ile kasma huwa haihojiwi?? inakuaje ikiwa yetu ndio tuhoji??
labda nimalizie kidogo kumpoza ndugu yangu narubongo asiyeelewa kwamba mengine yako juu yake.... some probes hazitokei iwapo CEO ni mzungu kwani ana sanction ya certain package, ila mbongo hiyo nehi che
HIVI MAHARAGE CHANDE KAPONA?? maana si bora kupoteza ile hazina yenye nasaba za akina CHANDE na RO
Hapo ndo tutaanza sikia bail out ,pesa za wananchi no zitatumika toka BOT kuinusuru af ukijaribu fatilia zitakavyotumika mtaniambia kama mnaweza refer goldman sachs pesa ya bail out walimnunulia CEO ndege mpya ya jifahari,xo now msijaribu amini serikali katika maisha yako,jifunze mdogomdogo namna ya kutengeneza pesa tofauti na za mshahara kama unaangalia mbele
Kwa nini siku zote mnafikiri suluhisho la matatizo yetu litatoka nje ya mipaka yetu? NBC kama wameshindwa haimanishi watz hawawezi, mbona NMB au CRDB ni success story inaongozwa na wageni? Grow up man usisukume tatizo jaribu kutatua!
Hao wakenya unaowasifu mbona nchi yao inawashinda kuindesha? ina highest ineqaulity hapa Afrika sasa huo ufanisi wao uko wapi? Mbona mpaka leo wanaishi kwa chakula cha msaada hasa kutoka kwetu, au ufanisi wao ni wakuendesha mabenki tu? Acha kulaumu watu wengine kwa failure yako kama wewe umeshindwa kimaisha sio kosa la Watanzania ni matatizo yako acha kusukumia na kulaani Watanzania wote!
Leo ukiulizwa Kenya na Tanzania ni nchi gani inafanya vizuri katika indicators za uchumi, elimu, kilimo na huduma za jamii utasema ipi??
hiyo ya kusukumia na kulaani watanzania wote sijui umeitowa wapi maana nimeuliza swali, na swali linatokana na hali iliyojitokeza, kabla ya kukurupuka ulitakiwa ujiulize why ???
unaleta siasa kwenye facts na hujui siasa
MBAFU we, tena usome post yangu namba 11 uelewe nilikua na-probe nini
JIna lako na akili yako vinafanana[/QUOTE
Leo nchi gani inayofanya vizuri ktk uchumi ni Tanzania, na ndio yenye uchumi unaokuwa kwa haraka kuliko nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya, na ndio maana miaka 10 iliyopita Uchumi wa Kenya ulikuwa mara mbili ya Uchumi wa Tz leo hii tofauti ni ndogo sana, per capital income ya Kenya ilikuwa karibu x2 leo hii tofauti ni $300 tu na inazifdi kupungua siku hadi siku hivyo jibu la swali lako Tanzania inafanye vizuri kuliko kenya ambayo inarudi au imesimama!

100% True