background application

background application

Real One

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
2,158
Reaction score
1,873
wadau naombeni msaada wa kupata application ambayo nitaweza kuedit background ya picha zangu.
msaada kutoka kwenu wakuu
 
wadau naombeni msaada wa kupata application ambayo nitaweza kuedit background ya picha zangu.
msaada kutoka kwenu wakuu
Ipo moja ndio ninayo itumia, ila inahitaji darasa hivi hivi huwezi fanya chochote.
Inaitwa photo editor. Icon yake ni ya blue halafu imechorwa camera kama inamkasi kwa pembeni.
 
Ipo moja ndio ninayo itumia, ila inahitaji darasa hivi hivi huwezi fanya chochote.
Inaitwa photo editor. Icon yake ni ya blue halafu imechorwa camera kama inamkasi kwa pembeni.

Photo editor nimeiona hii yenye vikalamu au ndo hiyihiyo
 
Sio hiyo, ina icon ya blue halafu ina camera ya rangi nyeupe kama ya kuchorwa, pembeni ina mkasi.
 
Ipo moja ndio ninayo itumia, ila inahitaji darasa hivi hivi huwezi fanya chochote.
Inaitwa photo editor. Icon yake ni ya blue halafu imechorwa camera kama inamkasi kwa pembeni.
Toa darasa kabisa kwa faida ya wote mkuu,,
 
Toa darasa kabisa kwa faida ya wote mkuu,,

Duuh mkuu kukupa maelekezo kwa kuandika nikazi sana. Unajua kuandika napo nikipaji kama tayari unayo hiyo App ninayo izungumizia mimi sema niku inbox namba yangu kwa maelekezo zaidi.
NB: Maelekezo ni bure na pia na wewe una uwezo wa ziada ( creative ) sababu ni mlolongo mrefu hadi picha iwe vile utakavyo.

Kazi zinazofanywa na hiyo App mi
-Ku edit picha kwa namna mbalimbali kama vile kuunaganisha kichwa na kiwiliwili cha mtu mwingine, ku badili background ya picha yako, kubadili rangi za picha yako, kuweka frame mbali mbali ktk picha yako. Nk
 
Back
Top Bottom