All in All, backdoor zimekua zikiibuliwa now and then kwenye linux tools, mfano VSFTP 2.3.4 ilikua na backdoor inayoukuruhusu kuingia kwenye system ya linux kupitia port 6200. Na hii ndo teaching reference kwenye kufundisha namna ya ku run reverse shell kwenye vitabu mbali mbali.
Hivo ni muhimu watu kuwa wana run vulnerability tool scanners kwenye OS zao, ili kuhakikisha hauna any known Vulnerability kwenye system yako.
Then, kaa tulia sikilizia wanyama wa Zero day vulnerability, ambao at most hakwepeki.