Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 717
- 1,536
kwaiyo unatushauri turudi kwenye closed source like macos?
Hebu tuambie mzee wa kupokea taarifa , hizo kernel ni vitu gani ?
Unatumia RHEL au Red Hat derived distro?Wakuu!
Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa.
Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi
Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc zinazo sumbua kwenye windows os
Sasa kuanzia update ya trh 25 - 29 /3, red hat waligundua backdoor kwenye moja ya package( xz inatumika kufanya compression ya files)
Aliyekua maintainer wa hii package kwa mda sasa alikua hafanyi contributions, kama unavyo jua open source wewe ukiacha mwengine anafanya
Contributer wa sasa (Miaka miwili) moja ya latest update alizofanya kwenye hii package ni kuweka backdoor ambayo inampa remote access ya computer yako
Hii backdoor inafanya kazi kwa ku bypass openSSH key verification kuwezesha remote access
Sasa assume wewe ni senior engineer, attacker ameweza ku access laptop yako unayotumia kwenye production
Ana uwezo wa ku clone au ku access private codebase, ku download .env, docker files na pia aweze ku push changes kwenye database
Yani j3 ijayo kuna kampuni zilikua zinafungwa. Tuwe makini sana hamna sehemu salama 100%
RHEL 9. Hii ni primary DS kwenye machine za ofisini.Unatumia RHEL au Red Hat derived distro?
Stable?
Sasa Kali nayo wameipiga?RHEL 9. Hii ni primary DS kwenye machine za ofisini.
Lakini laptop yangu natumia kali 2022.3
Ndio toleo la 2024.1Sasa Kali nayo wameipiga?
Dah, kazi ipo.Ndio toleo la 2024.1
Kuanzia update ya trh 25 hadi 29
Hatari sanaDah, kazi ipo.
I thought Kali was the security distro and therefore more insulated from this type of vulnerabilities.
Mkuu, huyu ali push backdoor kwenye codebase (kernal yenyewe) ya linux kabisa kupitia package ya xzLinux ni pana sana inakuja na flavours tofauti, hizo ubuntu, red hat, kali ni linux tu zote.
Sema hakuna sehemu salama.
Lakini unafikiri closed source ni salama zaidi? Au inatoa a false sense of security tu kukiwa na matatizo yanakuwa hayaonekano lakini yapo tu?
Yeah.Mkuu, huyu ali push backdoor kwenye codebase (kernal yenyewe) ya linux kabisa kupitia package ya xz
Haijalishi unatumia kali, ubuntu, mac etc. Kama engine ya distribution yoyote inatumia lunux tulikua tunaweza kuwa hacked,
Mfano asinge kundulika 90% server zote duniani zingekua hacked, kama zingepokea update mpya
Swali gumu. Mimi binafsi huwa naamini hamna ufanisi kwenye kujitolea (Kufanya kazi bila malipo)Lakini unafikiri closed source ni salama zaidi? Au inatoa a false sense of security tu kukiwa na matatizo yanakuwa hayaonekano lakini yapo tu?
Which is better? Open or closed source?
Kuna rafiki yangu huwa ananiambia "errors happen"Yeah.
But I was expecting Kali to be more scrutinized due to its security first reputation.
Hivi kernel ndio ina control the execution of processes...?Wakuu!
Wazee wa kutafuta vichaka vya kujifichia sasa tumefikiwa.
Nimekua nikitumia linux kama primary kernel kwenye laptop yangu kazi
Moja ya sababu ni usalama, kupinguza attack, virus etc zinazo sumbua kwenye windows os
Sasa kuanzia update ya trh 25 - 29 /3, red hat waligundua backdoor kwenye moja ya package( xz inatumika kufanya compression ya files)
Aliyekua maintainer wa hii package kwa mda sasa alikua hafanyi contributions, kama unavyo jua open source wewe ukiacha mwengine anafanya
Contributer wa sasa (Miaka miwili) moja ya latest update alizofanya kwenye hii package ni kuweka backdoor ambayo inampa remote access ya computer yako
Hii backdoor inafanya kazi kwa ku bypass openSSH key verification kuwezesha remote access
Sasa assume wewe ni senior engineer, attacker ameweza ku access laptop yako unayotumia kwenye production
Ana uwezo wa ku clone au ku access private codebase, ku download .env, docker files na pia aweze ku push changes kwenye database
Yani j3 ijayo kuna kampuni zilikua zinafungwa. Tuwe makini sana hamna sehemu salama 100%
Sijaelewa sana ulicho maanisha. Kifupi ni kwamba kernal inaong'anisha OS na HardwareHivi kernel ndio ina control the execution of processes...?
OkaySijaelewa sana ulicho maanisha. Kifupi ni kwamba kernal inaong'anisha OS na Hardware
View attachment 2951132
Maelezo zaidi hapa
Linux Kernel - GeeksforGeeks
Your All-in-One Learning Portal: GeeksforGeeks is a comprehensive educational platform that empowers learners across domains-spanning computer science and programming, school education, upskilling, commerce, software tools, competitive exams, and more.www.geeksforgeeks.org