01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza
Mashuleni, wanaenda kwenye
Engineering na Medical school.
02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa
wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.
03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia
Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.
Yaani wa kwanza na wa pili.
04.[emoji117] Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juu
wote hawana raha.
05.[emoji117] Wale waliopata Zero na waliokataa
shule wanakuwa waganga wa kienyeji,
wote hapo juu watamtafuta huyu, pale
mambo yao yanapokwenda kombo. Tuache kudharauliana, kila mtu ni boss akiwa kwenye nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji24] [emoji24] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Sent using
Jamii Forums mobile app